Miss u too babu kipenziMiss you
Halafu kuanzia sura, mwandiko na jukwaa - kopirait na mzee ya narokiAah wapi
Aiseeeeewarabu mnajuana kwa vilemba yakheee
Huyu mwifwa nitakuwa namfahamu pesonale
Kuhusu nini tena babu[emoji144]kwa hiyo inakuaje sasa?
Huyo si ana baby wake humu mahaba niue mwanzo mwisho......tunasubiria kula pilau tuHivi Asprin ndiyo alikuacha kabisaa?
[emoji28] babu mbn sikuelewiKumisiana
Hahahahahahaaaaa haina shida mimi na wewe tenaBasi ukihitaji kufanya usaili niambie nirushie application yangu pm ili tushindane nao.
Hata kwa pilau bubu.
[emoji41] [emoji41] ushasahau km mie ni mjukuu wako?? Au ndiyo ulee usemi mtu akizeeka anarudia utotoHadi tushtukiwe... ushakuwa mtu mzima ujue