Kuna members humu hawapewi Ban hii ni double standard

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
37,630
Reaction score
47,434
hili jambo huwa najiuliza sana kama ni kweli binadamu wote ni sawa.

Kiuhalisia usawa haupo kwa kweli.

Mfano mdogo tu kuna members hawapewi Ban kabisa;

Kuna member kama Max Melo mzee mwana Kijiji na wengine, toka nimejiunga JF sijaona wakila ban,

sasa ili usawa uwepo naomba hao na wengine wapewe ban ili wote twende sawa.

Taja na wengine ambao unadhani wanastahili angalau nao wale ban.
 
sasa ban utapewa tu bila kufanya upuuzi kama vile tu unapewa Karanga?? Jf ina kanuni na taratibu zake hivyo basi ukizivunja ban itakuhusu binafsi nimejiunga Jf toka 2015 na sijawahi kula ban lakin kuna member humu hawana hata miaka miwili wameshawahi kuonja Ban
 
Acha wivu wa kike, pambana na hali yako.
Kwahiyo wakipewa Ban unatajisikia nini zaidi au litakuwa limekuongezea nini?
 
unapendelea jukwaa gani?
Niko majukwaa mengi ila ambako hua sikosi ni michezoni kule siku hizi ban hazina jukwaa kote kuna watu wanakera.

Atakuwa chit chat sasa atapigwaje BAN aende kwenye siasa
Chit chat sijawahi changia zaidi ya miaka 2 sasa,ban zipo sehemu zote ila nina desturi za kukausha nikiona mtu ana mpango wa kunisababishia ban hata siasani nipo sana ingawa nachangia thread zinazonigusa.
 
nenda jukwaa la siasa
 
Ukiwa active kuchangia jukwaa la siasa lazima BAN uipate
 
Hata
Hata mimi sijawahi kupigwa ban kwasababu sijawahi kuwapa mods sababu ya kunipa ban.
 
Ban zenyewe hazinaga hata sababu
 
Kama hapewi ban muache ya nini kufuatilia ya watu?
 
sasa " watapigwa " vipi ban " wakati ," wanafuata ' sheria na kanuni " zilizowekwa Jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…