Kuna members humu hawapewi Ban hii ni double standard

Vipi wewe Hajar ushawahi kuchezea ban? Katika mazingira gani na upole wako huo?
Hahahaa. Nishawahi ila mazingira yenyewe naomba kwanza nivae miwani kisha niiandike kwenye ile diary yangu ndipo nikuletee hapo ulipo. [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Hahahaa. Nishawahi ila mazingira yenyewe naomba kwanza nivae miwani kisha niiandike kwenye ile diary yangu ndipo nikuletee hapo ulipo. [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Haya basi vaa hiyo miwani uniletee nione mi nasubiria hapahapa
 
Pole sana...

jiepushe kupigwa BAN za mara kwa mara...

Kama member hana tatizo lolote kwa nini apewe BAN...

Cc: mahondaw
 
Ushawahi kumuona baba kwenye nyumba akfungiwa mlango asiingie ndani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…