Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Nimekuja mkoa flani huku kaskazini, naona tangu juzi ni umeme kukatika mchana na kurudi jioni.
Je kuna mgao wa kimya kimya?
Je kuna mgao wa kimya kimya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🖕🏼Sasa Mkoa nao ni Siri???? Umefuatilia kujua shida nini kabla ya kuja humu.?
Tabia ya kulalamikia Kila kitu kabla ya kufuatilia sio poa mkuu.
🖕🏼Sasa Mkoa nao ni Siri???? Umefuatilia kujua shida nini kabla ya kuja humu.?
Tabia ya kulalamikia Kila kitu kabla ya kufuatilia sio poa mkuu.
Bora hapo ulikatika mchana,hapa kwetu unakatika asubuhi unarudi saa tatu au nne usikuNimekuja mkoa flani huku kaskazini, naona tangu juzi ni umeme kukatika mchana na kurudi jioni.
Je kuna mgao wa kimya kimya?
na kuna mgao wa maji wenye kupiga kelele!!!Nimekuja mkoa flani huku kaskazini, naona tangu juzi ni umeme kukatika mchana na kurudi jioni.
Je kuna mgao wa kimya kimya?