Kuna mgao wa umeme kimyakimya?

Sasa Mkoa nao ni Siri???? Umefuatilia kujua shida nini kabla ya kuja humu.?
Tabia ya kulalamikia Kila kitu kabla ya kufuatilia sio poa mkuu.
 
Sidhani na Sijawahi Sikia Mkoa unaoitwa "Fulani"hii Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…