Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Kila uchwao tabata wanakata umeme, I am comfused, what is wrong nothing going at all.
Wiki mbili sasa kila siku lazima wauondoe kwa saa karibu 5-7, leo hii tarehe 18/11 toka saa 4, asubuhi hatuna umeme mpaka muda huu.
#Tuimarishe vyanzo vya nishati mbadala.
Wiki mbili sasa kila siku lazima wauondoe kwa saa karibu 5-7, leo hii tarehe 18/11 toka saa 4, asubuhi hatuna umeme mpaka muda huu.
#Tuimarishe vyanzo vya nishati mbadala.