Pre GE2025 Kuna mgombea anapanga kujitoa Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa

Pre GE2025 Kuna mgombea anapanga kujitoa Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Bado ni tetesi kwa sababu huyo Mgombea bado anabembelezwa na wapambe wake asijitoe Ili kulinda Heshima ya chama

Naendelea kufuatilia kwa karibu na nitawajuza kinachoendelea
 
Bado ni tetesi kwa sababu huyo Mgombea bado anabembelezwa na wapambe wake asijitoe Ili kulinda Heshima ya chama

Naendelea kufuatilia kwa karibu na nitawajuza kinachoendelea
Anahamiaaaaaa sisiemuuu
 
Naona Lumumba wanafuatilia kwa makini waone kama wataondoka na mmoja wao!
 

Attachments

  • INCREDIBLE footage shows antelope fighting off leopard (related) - Daily Mail(360P).mp4
    4.5 MB
msigwa. sasa unaona kuwa hawa walikuwa enemies....
Msigwa alifanya kosa kukataa uwaziri wakati wa shujaa Magufuli 😄

Wenzake akina Silinde, Prof Kitila, Mollel, Katambi wanatesa tu kwa Urefu wa kamba 😂😂😂
 
Kwani Uchaguzi haujaanza?
Ulianza wa mabaraza Bavicha, Bawacha na Bazecha

Sasa ndio Wajumbe 109 wa mkutano mkuu wanaingia Ukumbini

Sugu na Mchungaji Msigwa Wote wapo

Pia yule Jah people alionekana mitaa hii lakini hatukushtuka kwa sababu hapa ndio kwao na hawa Wagombea Wawili ni Vijana wake kutoka Makete
 
Msigwa hawezi kukubali kuona madudu yanafanyika ili ashindwe na bahati mbaya pesa chafu inatumika kutoka kwa chama kingine kupitia watu waliotupwa jalalani.

Nikimtumia meseji atulie huku tukiwaonya hao siafu wasijaribu huo mchezo, mmoja kasema wazi aliyewatuma ila mmoja anaonyesha kibri na soon mtapata andiko lake hapa JF.
 
Back
Top Bottom