johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ni yule pastor asiye na hekalu!Bado ni tetesi kwa sababu huyo Mgombea bado anabembelezwa na wapambe wake asijitoe Ili kulinda Heshima ya chama
Naendelea kufuatilia kwa karibu na nitawajuza kinachoendelea
Tumepiga Kambi Kanda ya Nyasa πMtaa wa Lumumba haukaliki macho na masikio kanda ya Nyasa
Watu wa Lumumba fuatilieni ziara ya Katibu wenu huko kaskazini nasikia KIMENUKA
πππMwanasisiemu halisia π
Aiseeeeπππ
Mchungaji alianzia Kwa Lyatonga Mrema
Sugu Moto Chini alianzia Yuvisisiemu π
Anahamiaaaaaa sisiemuuuBado ni tetesi kwa sababu huyo Mgombea bado anabembelezwa na wapambe wake asijitoe Ili kulinda Heshima ya chama
Naendelea kufuatilia kwa karibu na nitawajuza kinachoendelea
Moto Chini ππ₯Anahamiaaaaaa sisiemuuu
Kila la kheriTumepiga Kambi Kanda ya Nyasa π
TAL namkubali sana Natamani tungekuwa naye hapa Lumumba πKila la kheri
Sisi tumepiga Kambi Singida keshokutwa Babati teh teh teh Mbele kwa mbelee
Bega linataka kuzidi VICHWAA
msigwa. sasa unaona kuwa hawa walikuwa enemies....Bado ni tetesi kwa sababu huyo Mgombea bado anabembelezwa na wapambe wake asijitoe Ili kulinda Heshima ya chama
Naendelea kufuatilia kwa karibu na nitawajuza kinachoendelea
Msigwa alifanya kosa kukataa uwaziri wakati wa shujaa Magufuli πmsigwa. sasa unaona kuwa hawa walikuwa enemies....
Kwani Uchaguzi haujaanza?Bado ni tetesi kwa sababu huyo Mgombea bado anabembelezwa na wapambe wake asijitoe Ili kulinda Heshima ya chama
Naendelea kufuatilia kwa karibu na nitawajuza kinachoendelea
Ulianza wa mabaraza Bavicha, Bawacha na BazechaKwani Uchaguzi haujaanza?