Uchaguzi 2020 Kuna Mgombea wa Ubunge kafanyia Kampeni Kanisani

Uchaguzi 2020 Kuna Mgombea wa Ubunge kafanyia Kampeni Kanisani

Katesh stand

Member
Joined
Sep 24, 2020
Posts
41
Reaction score
75
Ni Ramadhan Ighondu wa Singida Kaskazini.

Alifanya hivyo jana katika kijiji cha Mangida kata ya Msange katika kanisa la FPCT.

Je, hii inaruhusiwa na sheria za uchaguzi?
 
[SUP]hukuchukua hata kavideo mkuu?[/SUP]
 
Hivi nyie wachungaji mlioko humu hamuoni aibu?! Ni lini wewe utapewa nafasi ya kuhubiri injili bungeni?!

Acheni uvivu wa kufikiria. Kanisa Ni madhabahu ya kumkutanisha Mungu na watu wake na sio Mungu na siasa za dunia hii. Kwa kweli mnashangaza Sana wachungaji
 
Ni Ramadhan Ighondu wa Singida Kaskazini.

Alifanya hivyo jana katika kijiji cha Mangida kata ya Msange katika kanisa la FPCT.

Je, hii inaruhusiwa na sheria za uchaguzi?
Mchungaji anaogopa huyo jamaa ni hatari asije akamfanyia kama Dr.Ulimbo
 
HUYO RAMADHANI IGHONDO HATOBOI HATA AKAFANYE KAMPENI WAPI? NYALANDU ATAMPIGA KABLA YA MISA YA SAA 4
Naskia hata kwao mrama HAWAMTAKI hata CCM ameshawavuruga anajiendea tu anaandaliwa mikutano haendi! Km Ni ya kweli anahali ngumu
 
Muuaji anaruhusiwa vipi kupiga kampeni kanisani? Ighondu anapaswa kutubu kanisani badala ya kupiga siasa
 
Hivi Ulimboka akisikia hilo jina anajisikiaje?
Ni hofu kuu,kusisimka mwili mzima na pia anaweza hata akazimia.

Muuaji anataka kuwa m bunge ili awateke wananchi na kuwaua anavyotaka??

Ama kweli hii ndiyo Tanzania anayoitaka Magufuli
 
Kanisa la FPCT kataeni huu UPUMBAVU. Hivi liuwaji kama hili limejaa damu za watu unaliruhusu kufanya kampeni ndani ya kanisa?. Niwakumbushe wachungaji na mapadri.mitume na manabii.walimu na wainjilisti pamoja na maaskofu.M ASHEKHE NA MAIMAMU na wote wale walioitwa na MUNGU wa kweli wamtumikie. Mfalme daudi alikataliwa na MUNGU mwenyewe kumjengea nyumba ya ibada sababu mikono yake ilimwaga damu akamwambia hautanijengea nyumba yangu Bali Suleimani Mwanao ataijenga sababu mikono yako imemwaga damu. Sasa haya WAUWAJI mnayoyasimamisha makanisani na misikitini mnayaogopa au amna Adabu Kwa MUNGU ALIYEWAITA MUMTUMIKIE?.
 
Ni Ramadhan Ighondu wa Singida Kaskazini.

Alifanya hivyo jana katika kijiji cha Mangida kata ya Msange katika kanisa la FPCT.

Je, hii inaruhusiwa na sheria za uchaguzi?
Hilo ni kanisa lililomtuma kumteka na kumtesa ulimboka. Likimbieni hilo hekalu la licifer
 
Back
Top Bottom