Kanisa la FPCT kataeni huu UPUMBAVU. Hivi liuwaji kama hili limejaa damu za watu unaliruhusu kufanya kampeni ndani ya kanisa?. Niwakumbushe wachungaji na mapadri.mitume na manabii.walimu na wainjilisti pamoja na maaskofu.M ASHEKHE NA MAIMAMU na wote wale walioitwa na MUNGU wa kweli wamtumikie. Mfalme daudi alikataliwa na MUNGU mwenyewe kumjengea nyumba ya ibada sababu mikono yake ilimwaga damu akamwambia hautanijengea nyumba yangu Bali Suleimani Mwanao ataijenga sababu mikono yako imemwaga damu. Sasa haya WAUWAJI mnayoyasimamisha makanisani na misikitini mnayaogopa au amna Adabu Kwa MUNGU ALIYEWAITA MUMTUMIKIE?.