Kuna mgomo Manchester United. Wachezaji hawamtaki Mourinho

GuDume

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2015
Posts
6,651
Reaction score
14,337
Kwa jinsi hali ilivyo ni wazi kuwa wachezaji wa man united hawamtak jose mou.mimi ngemshauri mambo mawili.
1. Akae nao chini waongee wayamalize asiwe na kiburi maana kama wameamua ku Unite against him hawez washinda. Inawezekana nusu ya team haimuungi mkono na watamchomea sana kwa mashabiki na viongozi.akae chini aongee nao wayamalize.tuliona walichomfanya chelsea na mwisho akaondolewa.

2. Ajiuzulu kuficha aibu itakayomjia siku za mbeleni. Maana watazidi mwaibisha. Anapaswa ajue namna ya kuishi na wachezaji.ni kama watoto au wanafunzi shuleni.wanaweza amua kumfukuzisha mwalimu.wakiamua wote kusema hatumwelew, wakaamua kufail somo lake.jina la shule ndo linaharibika so shule mwishoni itaamua mwondoa mwalimu.

Yajayo ni ya huzuni kuliko yaliyopo sasa.
 
Huyo Pogba mwenyewe nina mashaka na kichwa chake! Jamaa uwezo wake upstairs inaonekana upo chini sana ;mchezaji wa Man Utd mwenye akili zake hawezi kubabaika kwenda Barca au Real ,Manchester ni timu kubwa Duniani same level na huko wachgezaji washamba wengi wanakobabaishwaga! maana Dogo mshahara anaolipwa Old Traford Barca hawawezi kumpa believe me. Sasa timu imempa hela hiyo halafu yeye hataki kuipa respect humo kichwani mwake kuna nini?

Upande mwingine bodi nayo ina nakisi Fulani sababu haiwezekani timu ina uwezo na mapato yanaongezeka kila mwaka halafu mmbanie kocha hela ya kusajili, Wana sababu gani wasimpe hela ya usajili hata kama alipewa hela nyingi huko nyuma?, EPL ya miaka hii ya karibuni hivi kuna kutoboa kweli bila kusajili?
 
We ni mpuuzi na hujielewi. Kama kocha hamtaki hutaki a-request transfer au umesahau Rooney aliwahi kuomba asepe zake Chelsea baada ya sintofahamu united ??

Acha kuwa Kichwa bakuli.

Tatizo la united ni Mou.
 
Wachezaji ilionao Man U wanatosha Kushindana na timu yoyote EPL. Liverpool wana wachezaji gani kuzidi Man U? Timu imekosa ari, na hili si tatizo la uongozi ni tatizo la mwalimu. Mleta mada yuko sahihi, hata Mimi mwanzo nilidhani tatizo ni aina ya wachezaji. Chukua mchezaji mmoja mmoja Man U linganisha na wa Liverpool halafu leta mrejesho.
 
Umeona lakini attitude ya huyo Pogba? Hivi mchezaji mwenye nidhamu na yuko sawa anaweza kubehave vile hata kama mmegombana na kocha?
 
.
255718902164_status_83c9eca67548945611d88afa4b413bf5.jpg
 
Umeona lakini attitude ya huyo Pogba? Hivi mchezaji mwenye nidhamu na yuko sawa anaweza kubehave vile hata kama mmegombana na kocha?
Kwani Mou alivyokuwa anafanyiwa mgomo baridi Chelsea wakina hazard na willian walikuwa na attitude gani ??

Au kipindi hicho ulikuwa hujaanza shabikia kabumbu
 
We ni mpuuzi na hujielewi. Kama kocha hamtaki hutaki a-request transfer au umesahau Rooney aliwahi kuomba asepe zake Chelsea baada ya sintofahamu united ??

Acha kuwa Kichwa bakuli.

Tatizo la united ni Mou.
Kabla ya mou Man Utd ilikua na ubora zaidi ya sasa? tangu aondoke babu yenu!
 
Uwezo wa Jose Mou ni Mdogo kwa kiwango cha timu kubwa kama MU. Uwezo wa Manager yoyote sio kufundisha soka tu bali pia mahusiano yake na wachezaji na wafanyakazi wengine. Ushindi unapatikana kwa ushirikiano wa Mwalimu, wachezaji na bench la ufundi na bodi ya timu. Mfano Mou alikosana na daktari unaona ilivyo athiri timu nzima.
 
Wachezaji ilionao Man U wanatosha Kushindana na timu yoyote EPL. Liverpool wana wachezaji gani kuzidi Man U? Timu imekosa ari, na hili si tatizo la uongozi ni tatizo la mwalimu. Mleta mada yuko sahihi, hata Mimi mwanzo nilidhani tatizo ni aina ya wachezaji. Chukua mchezaji mmoja mmoja Man U linganisha na wa Liverpool halafu leta mrejesho.
Man Utd si ya kuifananisha na liver kwa aina ya wachezaji mkuu,

kuanzia beki hadi kiungo kuna wachezaji watatu tu wa maana, bailly, matic na pogba,

Hawa wengine hawakustahili kabisa kua pale

wanakuzwa na media tu.
 
Kabla ya mou Man Utd ilikua na ubora zaidi ya sasa? tangu aondoke babu yenu!
Acha upuuzi lofa wewe you know nothing about united , Mara ya mwisho united kucheza mechi za saba za mwanzo na kuambulia point 7 ni mwaka 1980s , yani msimu this season mechi saba za mwanzo ni worse tangu miaka ya 80, huoni tofauti tu ??
 
Man u bana,hahahahahahahaa,washaanza visingizio,pambaneni na hali zenu
 
Acha upuuzi lofa wewe you know nothing about united , Mara ya mwisho united kucheza mechi za saba za mwanzo na kuambulia point 7 ni mwaka 1980s , yani msimu this season mechi saba za mwanzo ni worse tangu miaka ya 80, huoni tofauti tu ??
Hujajibu swali uliloulizwa we fala,

nimekuuliza ni Man Utd gani ilikua na nafuu baada ya kuondoka babu yenu?
 
Back
Top Bottom