Kuna mgomo wa daldala Makumbusho?

Kuna mgomo wa daldala Makumbusho?

Gulwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2008
Posts
10,597
Reaction score
16,394
Leo nimepita makumbusho stendi ya daladala hakuna magari yanayotoka. Magari yote yanapaki na hayapakii
Abiria wameduwaa hawajui wafanye nini. Mwenye taarifa sahihi atujuze
 
Waulize hapo utupe taarifa na sisi ambao hatujqtoka majumbani tujipange
 
Umeshindwa kujifanya wewe ni abiria ukauliza kuhusu usafiri mkuu?

Ungefanya hivyo usingekuja na mtindo wa swali bali ungeleta taarifa rasmi.
 
  • Thanks
Reactions: I M
Back
Top Bottom