NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
NIMEKUPA TAARIFA INGIA FIELDHizi ni taarifa za wazi kuhusu rushwa.
Kama huu sio uzushi na unaweza thibitisha tunaweza wasiliana kulifuatilia hili.
Bado hamjasemaBaada ya mbinu ya kutumia wachezaji waliocheza Ayub FC na kuhamia Arizeti Fc kushindikana Sasa kwa taarifa nilizozipata hivi punde shilingi imegeuka kwa mpuliza filimbi na washika kibendera ndiyo watakao imaliza mechi hii mapema tu.
DAKA PANZI FC hii mechi wanaitaka sana na ndiyo maana wameamua kutumia wapuliza filimbi, mbinu Yao hii lazima wapate point hata iweje.
Tutegemee Kadi nyekundu, daka panzi lazima wapate Penati na Arizet FC watahukumiwa.
Wapuliza filimbi watachezesha Mchezo Kama hawazijui sheria kabisa yaani wamekubaliana wote watakuwa na makosa ya kibinadamu ili Penat FC washinde.
KILA LA HERI PENATI FC KATIKA USHINDI WENU.
NDIYO HAO HAO."Walima Arizeti'
Bado hamjasema.Baada ya mbinu ya kutumia wachezaji waliocheza Ayub FC na kuhamia Arizeti Fc kushindikana Sasa kwa taarifa nilizozipata hivi punde shilingi imegeuka kwa mpuliza filimbi na washika kibendera ndiyo watakao imaliza mechi hii mapema tu.
DAKA PANZI FC hii mechi wanaitaka sana na ndiyo maana wameamua kutumia wapuliza filimbi, mbinu Yao hii lazima wapate point hata iweje.
Tutegemee Kadi nyekundu, daka panzi lazima wapate Penati na Arizet FC watahukumiwa.
Wapuliza filimbi watachezesha Mchezo Kama hawazijui sheria kabisa yaani wamekubaliana wote watakuwa na makosa ya kibinadamu ili Penat FC washinde.
KILA LA HERI PENATI FC KATIKA USHINDI WENU WA MCHONGO.
UNAONA REFA ANAVYOCHEZESHA.Bado hamjasema.
Kama mmewatuma wacheze rafu kuwatisha wachezaji tambueni mtakipata mnachokitafuta
Usisahau Ile penat ya geita gold pale mwanza CCM kirumba msimu uliopita ajabu ngwenywa wa ngwenywa ajawai zungumziaMleta mada ananikumbusha goli la yanga dhidi ya azam msimu uliopita, mpira ulitoka nje refa akajifanya hajaona.
Ukiwa unaliwazia hilo maana huenda ushasahau nakukumbusha kuwa yanga ndio timu pekee duniani ambayo ilifungwa goli, mpira ukajaa wavuni na refa akasema ni kona
Na yametokea kweli, mpira wa Tanzania una safari ndefu, na timu Kama iyo ndio inakwenda kucheza mechi za kimataifa sidhani Kama kule Kuna mbeleko ya aina yoyote, uwezo wako ndio unaamua mechi na sio vinginevyo, waamuzi Hawa wa Tanzania ni ngumu kupata nafasi michuano ya kimataifa ni aibu kubwa hii, goli la singida lilikuwa na offside Gani pale? Huu ni uchafuzi lakini aina haja ya kulalamika mwenzako akiweka jembe weka shoka na wengine wafuate nyayo ili kusudi twende sawaBaada ya mbinu ya kutumia wachezaji waliocheza Ayub FC na kuhamia Arizeti Fc kushindikana Sasa kwa taarifa nilizozipata hivi punde shilingi imegeuka kwa mpuliza filimbi na washika kibendera ndiyo watakao imaliza mechi hii mapema tu.
DAKA PANZI FC hii mechi wanaitaka sana na ndiyo maana wameamua kutumia wapuliza filimbi, mbinu Yao hii lazima wapate point hata iweje.
Tutegemee Kadi nyekundu, daka panzi lazima wapate Penati na Arizet FC watahukumiwa.
Wapuliza filimbi watachezesha Mchezo Kama hawazijui sheria kabisa yaani wamekubaliana wote watakuwa na makosa ya kibinadamu ili Penat FC washinde.
KILA LA HERI PENATI FC KATIKA USHINDI WENU WA MCHONGO.
Zungimzia na Goli la Leo na lile walilonyimwa Singida fountain GateMleta mada ananikumbusha goli la yanga dhidi ya azam msimu uliopita, mpira ulitoka nje refa akajifanya hajaona.
Ukiwa unaliwazia hilo maana huenda ushasahau nakukumbusha kuwa yanga ndio timu pekee duniani ambayo ilifungwa goli, mpira ukajaa wavuni na refa akasema ni kona