baba frances
Member
- Dec 18, 2016
- 39
- 37
Inawezekana kabisa kukopa kwa dhamana ya kiwanja, muhimu ni kiasi cha mkopo kama kinaendana na thamani ya kiwanja. Mfano una kiwanja chenye thamani ya Tzs.30million na unataka mkopo wa 15million, hapo thamana itakuwa imekidhi wewe kupata mkopo.Habarini wanajamii forum wenzangu Leo nimekuna naubishana na jamaa Fulani juu ya uwezo wa kukopa Pesa katika taasisi za kifedha hasa hasa katika mabenk kwa dhamana ya kiwanja hivyo naomba kwa mwenye uelewa juu jambo hili naomba anisaidie kuwa naweza kukopa nikaweka dhamana kiwanja chenye hati miliki?
Kama bank gani wanaweza nikopesha niendeInawezekana kabisa kukopa kwa dhamana ya kiwanja, muhimu ni kiasi cha mkopo kama kinaendana na thamani ya kiwanja. Mfano una kiwanja chenye thamani ya Tzs.30million na unataka mkopo wa 15million, hapo thamana itakuwa imekidhi wewe kupata mkopo.
Note: Kuna viwanja hapa bongo vina thamani zaidi ya nyumba, wewe pita pita mitandaoni utaona Chamazi Nyumba inauzwa 50million lakini pande za Bunju, Mbweni, na Salasala ni bei ya kiwanja.
Ukubwa ni meta square 1428Una eneo lenye ukubwa gani na unahitaji kikopa kias gani?