Aombe kuonanana na boss wa pccb mkoa amueleze kila kitu. Kama ni genuine atasaidiwa
Ndiyo watafatilia kwa umakini kesi jinsi inavyoendeshwa na mama atapewa haki zake na akimuona mkubwa wao itakua poa sana au mkuu wa wilaya tena saiv wana moto ndio kwanza wameingia.takukuru inahusika na mambo haya?
Nakweli bado DC wa moto moto itakuwa vizuri sanaNdiyo watafatilia kwa umakini kesi jinsi inavyoendeshwa na mama atapewa haki zake na akimuona mkubwa wao itakua poa sana au mkuu wa wilaya tena saiv wana moto ndio kwanza wameingia.
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Hao watoto kama walilelewa vizuri halafu wanalipa mabaya , dunia duara lazima yatawarudia muda ni mfupi tu!mimi nimeeleza kwa ufupi sana ila huyu mama ni mpole sana na atakuja kufa kwa mawazo na hakutegemea watoto aliowalea kama wanae watakuja mgeuka hivi kesho 23/6 atakuwa yupo kituoni wale vijana wanamshitaki