God'sBeliever JF-Expert Member Joined Sep 1, 2015 Posts 5,788 Reaction score 3,033 Sep 23, 2015 #1 hili shindano kuna mkali alieshinda tupeane moyo maana nampango nijitose huku. bonge la zali kwa wenzetu kenya naskia kuna mjanja kajishindia mipesa yake ming tuu.
hili shindano kuna mkali alieshinda tupeane moyo maana nampango nijitose huku. bonge la zali kwa wenzetu kenya naskia kuna mjanja kajishindia mipesa yake ming tuu.