Kuna mkakati gani serikalini wa kutambua werevu?

Kuna mkakati gani serikalini wa kutambua werevu?

Nyamgluu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
3,160
Reaction score
1,726
Serikali ya nchi zilizoendelea zina mipango na miongozo maalumu kabisa ya kuwatambua na kuwatumia watu wao walio katika taasisi za juu za elimu.

Watu hawa ni ma Professa pamoja na wanafunzi wao ambao huonyesha exceptional standards.

Kwa mfano Profesa aliyebobea katika maswala ya kilimo anakua automatic katika ngazi flani ya uongozi hata kwa ushauri katika wizara ya kilimo. Mwanafunzi aliyepata cum laude kwenye degree yake ya engineering atapewa kitengo hata cha assistant something kwenye wizara ya nishati na madini. e.t.c.

Je, serikali yetu ina mikakati hio hata kimaandishi tu. Maana najua utekelezaji itkua ni asking for too much, je kuonyesha nia tu ya kufanya hivyo kwa kuliongelea ki propaganda, je limeshawahi kuongelewa?
 
Back
Top Bottom