Kuna Mke au Mume ukimuacha umekula hasara ya Maisha

Sifa namba 1 mi sina, nafanya ibada zangu kivyangu na kwa namna yangu. Sifa namba 1 kwa ME mume wangu hana 😂 korofiiiii &Nunda japo si muda wote. Namba 9 pia hana! Au ni half, half.

Anyways mengine mengi uliyoyataja mulemule kabisa. 😍
 
ungekuwa mganga ningekueleza.
ukitaka kupata mtu wako wa maisha angalia nyota zenu zinasaidiana.
kumbe wewe ni nyota ya moto na yeye maji unategemea nini!.
ukismart au upepo ukiwa na mpenzi,rafiki,eneo,kazi na ajira ujawai kukutana nazo.yote haya ukifata kwa makini ulichoandika kama mkataba wa DP world tutashindwa kujua miaka mingapi nchi itakuwa imeachiwa
 
Labda umuibe ukamformat kisha uingize program moja moja unazotaka. Hawa walikuwepo enzi za mitume na manabii wa kweli sio nyakati hizi za nabii mwaposa.
 
Brother upewe maua yako maana wasasa hivi wamekua na emotional 🗣️ hawataki Amani hata kidogo vilopolopo
 
Kumpata mwanamke mwenye sifa za hivyo ndio kazi yenyewe Sasa.
 
Madini tupu, ila sasa hawa ndio wale Bible inasema nani awezaye kuwaona?. Maana kima chao au thamani yao yapita kima cha marijani.
 
Reactions: IoT
Kama wote mna hofu ya mungu na mnamtegemea Mungu hizo sifa zingine zinaweza kuzaliwa kwenye familia yenu kwa kumuomba Mungu ila kwa akili zenu bila kumuomba mungu ni vigumu maana hakuna aliye mkamilifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…