Kuna Mke au Mume ukimuacha umekula hasara ya Maisha

Hizi tabia tajwa kwa hazipatikani kwa wanawake au wanaume wazuri kwa mambo na sura, hapa ndio changamoto kubwa ilipo.,Vijana wengi huangalia mambo hayo sana kabla ya ndoa na kuacha vigezo muhimu kabisa.
Zinapatikana vizuri tu mkuu mm ninae
 
Mzee wa taikuni vipi ulitoa talaka kwa hasira nini hadi urudi kinyume ntumie kwa mafumbo
 
Kila mmoja ana interest zake anapoamua kuoa kuolewa Mimi hata Kama atoi lakini anasifa hizo kwangu the best wife of the year
 
Mwanamke yeyeto asiyefata misingi ya dini imekula kwako.
 
Mafanikio yote ya mwanaume yanategemeaana na utulivu wa mke.
Mke mwenye hekima ujitahidi asimkwaze mmewe sababu mume ni kiwanda Cha uzalishaji Mali wa familia.
 
No 4 imewapa wanawake wengi upumbavu wa kuwa mbali na ndoa zao.Hii ni lazima au si lazima pia inategemea na kipato Cha mume Kama ni toshelevu si lazima ila kukaa tu nyumbani bila kazi napo uleta uvivu uvivu umkaribisha shetani mtibua ndoa.
 
Msingi mkuu wa hoja yako kiunganishi kikuu ni kuwa na uchumi mzuri na ucha Mungu.
Mungu ndie chanzo Cha hekima na maarifa.
 
Muhimu ni kuomba Mungu usio mjasiliandoa yaani mwanaume ni mtumwa wake na Sio mume.
Wale wa thamani ya mwanaume upimwa kwa mfuko wake
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…