Kuna mlima ambao huwa unateremsha maji huko China, lakini unakua mkavu daima hautoi maji. Ila ukisomewa Aya za Qurani ndipo maji yanaanza kutoka

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
Kuna mlima ambao huwa unateremsha maji huko China, lakini unakua mkavu daima hautoi maji.

Ila ukisomewa Aya za Qurani ndipo maji yanaanza kutoka, wanayatumia watu halafu unarudi kuwa kama Mwanzo.

Subhana Allah wa Bihamdih
Subhana Allah Aladheem



Your browser is not able to display this video.
 

[emoji28][emoji28][emoji28] wachina hawataki uislam,acha kujipendekeza kwa ujinga huo wachina walishatoka huko.
 
Kam vile Tanesco na mgao wa umeme... Za kuambiwa changanya na za kwako...


Cc: Mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…