DOKEZO Kuna mlipuko wa Kipindupindu Pwani ya Kusini, kwanini serikali haisemi lolote?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Ni takriban wiki sasa yale madimbwi yaliyotokana na mafuriko ya mvua za mwaka huu yamesababisha mlipuko wa kipindupindu. Sasa mbona kama inafanywa siri?

Lengo ni kutozua taharuki au nini? Watu hawachukui tahadhari wanaendelea kusafiri. Ni hatari sana.
 
Eneo gani Mkuu kuna mlipuko huu watu tuchukue tahadhari?
 
Tayari wanachukua hatua kwenye hayo maeneo ila ilitakiwa pia alert itolewe kitaifa
 
Back
Top Bottom