Kuna mlipuko wa ungonjwa wa Homa ya Nyani (MPox) DRC na inadhaniwa kusambaa nchi nyingine

Kuna mlipuko wa ungonjwa wa Homa ya Nyani (MPox) DRC na inadhaniwa kusambaa nchi nyingine

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Mpox ama monkey pox. Ni homa inayotokana na nyani.

Inasemekana hadi sasa walioathirika ni 19,919 huku waliokufa 975 huko Congo.

Dalili zake upele, homa, mgongo kuuma, kukosa nguvu, kichwa kuuma, kuwashwa kwa koo.

Inaaambukizwa kwa kula nyama ya nyani alie na hatari hio, kugusana kawaida na hata kingono, kuguswa na materials kama shuka ,nguo zilio na hatari hio.

TUCHUKUE HATUA.

Screenshot_20240517_064256_X.jpg

Screenshot_20240517_064356_X.jpg

PIA SOMA
- Homa ya nyani (Monkeypox) yaibuka tena Jamhuri ya Kidemokrasia Kongo. Watoto wadaiwa kuathirika zaidi
 
Tanzania tuna mwingiliano na Wakongo hivyo Wizara ya Afya ichukue hatua za dharura kuzuia ugonjwa huo usiingie!
Aidha jamii za Wahezabe,Wasandawe na jamii zinazozunguka maeneo hayo ni walaji wa Nyani na tumbili ziangaliwe vizuri.
 
Sure
 
Back
Top Bottom