Kuna mnaoifahamu kozi ya OSHA?

Kuna mnaoifahamu kozi ya OSHA?

Wadau wanauliza kama kuna mtu anaufaham na osha na zile course zake na nafasi ya upatikanaji wa ajira baada ya kusoma zile course.
Naona nzuri ni safety regulation in industrial (sina uwakika kama ni jina sahii ya hyo coarse )
 
Occupational safety and health authority (OSHA) Nakumbuka tulisoma hii kitu kwenye module ya industrial safety tukiwa mwaka wa kwanza pale TANZANIA INSTITUTE OF RAILWAY TECHNOLOGY (TIRTEC)
 
kozi iko vizurii
89bdc6424753feb74db7e4c24bc14f28c22751ef.jpeg
 
Back
Top Bottom