Kuna mnyama anaitwa Jeep Cherokee Trackhawk

Wazee umasikini ni mbaya aisee, inaniuma sana kwamba hizi gari nitaishia kuziona kwenye mtandao au kubahatisha kupishana nazo barabarani, hapa niko naiangalia Fekon yangu kwa hasiraπŸ™‰
 
Nimeipenda kwa kweli...
 
Ngoja waje wale wa "tatizo spare" na wengine "Lita 1 mafuta inaenda km ngapi?"

Ila Cherokee mnyama aisee. Amekaa kibabe sana.
Uliwahi kusema marekani ni zero kwenye uundaji wa magari, kumbe unawakubali kiaina!!
 
Ila zanzibar kuwa gari kama hizo ni sawa na kuwa na shamba la robo ekar na tractor massey ferguson.
 
Ila zanzibar kuwa gari kama hizo ni sawa na kuwa na shamba la robo ekar na tractor massey ferguson.

Huyo mzungu wa Zanzibar hayoko mjini. Yupo nje sana ya mji. Karibu saa zima.

Hiyo 5.7L Hemi ndio ilikuwa bara ila ni mkoani. Gari ilikuwa inaondoka acha kabisa. Ukijisahau utajikuta mtaroni.

Ye mwenyewe mwenye gari alikuwa anasema akiwa anakuja dar hakuna gari inampita.
 
Hilo ndinga unatoka mkoani au unaingia mikoani, hakuna takataka yeyote itanusa hapo, usipokuwa makini unaachia barabara, Lamborghini gallardo haifuatii hapo, ninapoipendea ni SUV halafu ni very powerful kingine ni muonekano wake wa kawaida, halafu mlio wake unanimaliza kabisa.
Toyota supra ambayo ni fastest kwa toyota bado inasubiri kwa hili SUV.
 
Cherokee das πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
mkuu uko sahihi supra nayo siyo mchezo ila me naikubali old model
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…