Kuna msanii wa dancehall anayemzidi Patoranking?

Umemwacha wapi Burna Boy, jamaa nakubali sana vocal lake.
Burna Boy anajua ila hana hit song, kama unanibisha nitajie hitsong zake walau nne.

Patoranking huyu mtu ni nyoko, hapo mleta mada hajataja ngoma ambazo kashirikishwa alivyoharibu mbaya. kasikilize wimbo alioshirikishwa na rich mavoko halafu ile ngoma ambayo yuko featured na sauti soul. Hahahahaha huyu jamaa unaweza dhani ni jamaican.

Sijakusikilizisha ngoma ya Major lazier ft Nasty C, Ice prince na Patoranking alivyochakaza kile kibwagizo "Come Come Come Gimme Yo Loveyaaaah "

Huyo ndio mzee wa Wetseeeeeah
 
Kwa afrika sawa..kwa dunia hakunaga kama shabba ranks

Ingawa Mimi ni shabiki Namba moko wa pato
 
Aiseee kama kipaj chake anakitendea haki haswaaa
 
Nilimkumbusha kwamba kwenye list yake Burna boy hakumweka kabisa. Otherwise you are right
 
red san na kale ka dada ka ig cindy vipi
 
Binafsi napendelea Dancehall Original kutoka Jamaica hii ya wanamuziki wetu wanaoiga Lafudhi ya Kijamaica ni Dancehall feki!
 
Binafsi napendelea Dancehall Original kutoka Jamaica hii ya wanamuziki wetu wanaoiga Lafudhi ya Kijamaica ni Dancehall feki!
Tangia dunia hii ianze hakuna aliyewahi kufanya Dancehall ya kumzidi Sean Paul
 
Binafsi napendelea Dancehall Original kutoka Jamaica hii ya wanamuziki wetu wanaoiga Lafudhi ya Kijamaica ni Dancehall feki!

duh kwa hyo ata waafrika wanaoimba rnb ni fake, pia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…