Kuna msanii yeyote wa slow pop anayemzidi Whitney Houston?

Kuna msanii yeyote wa slow pop anayemzidi Whitney Houston?

Dulla makabila unamchukuliaje?
🤣Ila yule dogo nae alinyang'anywa mke na Manara huku anashuhudia🤭

Ila na sisi wanawake bhana,hivi kapo kwa Manara pale kameshachoka kitamboo...kutoka tena kwenye ndoa ndio muziki....Halafu ana bahati mbaya kweli huyu manzi...anakutana na wanaume wote Wana mdomoo.
SIJUI NIMEKUJIBU MKUU!?
Unasemaje?
 
Back
Top Bottom