Dulla makabila unamchukuliaje?
🤣Ila yule dogo nae alinyang'anywa mke na Manara huku anashuhudia🤭
Ila na sisi wanawake bhana,hivi kapo kwa Manara pale kameshachoka kitamboo...kutoka tena kwenye ndoa ndio muziki....Halafu ana bahati mbaya kweli huyu manzi...anakutana na wanaume wote Wana mdomoo.
SIJUI NIMEKUJIBU MKUU!?