Kuna msemo usemao, Ngedele siku kuua lakini umande umeupata.

mcoloo

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
918
Reaction score
1,402
Siku ya trh 30 sept ilikuwa siku mechi ya watani wajadi, hii ilikuwa siku ambayo katika soka la hapa Tanzania historia mpya kabisa iliwekwa, ni siku ambayo Yanga hawata isahau kwa jinsi walivyo fundishwa soka na Simba. Kwani kwa dakika zote za mchezo wali utafuta mpira kwa kutumia tochi, ilikuwa siku ambayo wachezaji , viongozi, na wapenzi wa Yanga wameiandika katika vitabu vyao vya kumbu kumbu kwa jinsi walivyo fundishwa soka.
Hii ili nikumbusha msemo usemao Ngedele siku kuua lakini umande umeupata, hongera kwa wachezaji wa Simba, viongozi, na zaidi benchi la ufundi.
Simba Oyeeeeee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…