Kuna mshindi wa Mojabet kapata mshiko wa shs 209,000,000 jana eti?

ebaeban

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
2,205
Reaction score
2,697
Kuna mshindi kama huyo ametangazwa jana? Natafuta kwenye mitandao hata simwoni, kuna zawadi ya ushindi kama hiyo jamani wana bodi naomba mnijuze, na mojabet ndiyo ipi tena? Mona mimi siijui, ni tofauti na M.BET?
 
Eti huyo mshindi alitangazwa jana na ITV anatokea Mpwapwa anaitwa Rose Stephano lakini mimi sikuona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…