Mtapigana vikumbo huko na Lily Flower na Pretanipo karibu.....sana
naishi kambi ya fisi mbele kidogo ya matejoo
Naelekea AR kwa rikizo ya one week, ningependa nifikie kwa msichana yeyote aliyoko single wa JF. safari yangu itakuwa poa sana nitaishi naye kwake huku tukijadiri mambo mengi na ni mara ya kwanza mimi kufika Ar. Tutaanzisha thread pamoja kwa furaha.
sipendi nifikie kwa mwenye famiria au mume sababu ziko wazi wamaume tuna wivu sana. Nasubili majibu yenu vimwana wa AR.
Mtapigana vikumbo huko na Lily Flower na Preta
Afu Hiri rimjamaa rinaweza kuwa riafande mura............
Nyivonduma sir
Member
Join Date: Thu Jan 2010
Posts: 38
Thanks: 13
Thanked 5 Times in 5 Posts
Mwanzo mzuri sana huu. Kijana ongeza juhudi!
PM ya nini naweKwa nini nifikie kwa mwanaume? unaweza kufikia kwa rijambazi ati. sijapata PM yeyote Arusha mpooo? halafu naskia kuna baridi kwerikweri
Balidi vipi huko?
mbado sana hapa!kazi ipoBalidi vipi huko?
mbado sana hapa!kazi ipo
kumbe matumizi ya R na L bado ni magumu hadi leo??
Mungu atusaidie.
inavoonekana wewe ni mwanaume,kwanini unataka msichana single 😱ukae kwake au upokelewe tu?
anaweza kuwa vyovyote he,she or bwabwa,ahitaji kukarimiwa huyo.
Kwa nini nifikie kwa mwanaume? unaweza kufikia kwa rijambazi ati. sijapata PM yeyote Arusha mpooo? halafu naskia kuna baridi kwerikweri