Kuna msichana yeyote wa JF Arusha?

Huyu Jamaa hayuko serious.... Yani ukaribishwe tu kwa mtu tena mtoto wa kike, bila kukufahamu wewe ni nani? Ndiyo maana hujapata PM hata moja.... Karibu usisahau mwamvuli ukifika...
 
nina ndugu yangu (single)wa kike maeneo ya sinoni, bahati mbaya siyo member wa jf ukitaka nitamjulisha akupokee
 
Anajizungusha weeeeeeeee wakati shida yake iko wazi si useme tu unahitaji tulizo la moyo AR utazunguuuuuuuuuuuuuuka sana bila kuwa muwazi kazi ni bure.
 
Ukifika Moshi mchukue mtoto wa Kichaga,wanaijua sana Arusha na wanaujua sana utalii.
 
ngoja nikutafutie yule mama aliyempa dozi mc mrema mpaka akachemka naona atakufaa,tukusahau hapa.
 

HII NI KIBIAHSARA ZAIDI....samahani kama nimekukwaza

 
Kwani lazima awe JF Member? wewe fika AR, nenda Ken Garden, Shivas au Mrina, kuna kila kitu pale. Angalie usije kutana na the Machames ukashindwa kurudi home uje hapa utuombe Nauli ya kurudi kwenu.
AR wako kibiashara zaidi, be carefully
 
Kwani lazima awe JF Member? wewe fika AR, nenda Ken Garden, Shivas au Mrina, kuna kila kitu pale. Angalie usije kutana na the Machames ukashindwa kurudi home uje hapa utuombe Nauli ya kurudi kwenu.
AR wako kibiashara zaidi, be carefully

hilo nalo neno
 
Hilo jina lako mama Du. Linatisha .Au wewe dume unatufuta demu kirahisi vile? Na kama jina ndio hilo hizo RRRRRRRRRRRRRR za akina Mura umezitoa wapi ?
 
Jamani hodi huku ndani,


Hahahaaaaa!!!!!

Jamani, makubwa hayo,

Kwanini rafiki unataka tu kufikia kwa msichana? Tafuta dume lenzio bwana. Sisi wenyeji wa Ar tupo tutakupokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…