Tuwape mda ndo rafiki wa kila kitu hii post yangu ipo siku mtairudiaKila mtu kaona iran kachangiwa na mataifa mawili , inatosha kabisa kusema Israel peke yake bila marekani ni mchumba tu kwa iranView attachment 3556273
Yani Israel kawekwa rehani, marekani anapigana vita na iran katika ardhi yake. Irani harushi chochote Marekani, kila kitu kitamalizikia palepale.Kila mtu kaona iran kachangiwa na mataifa mawili , inatosha kabisa kusema Israel peke yake bila marekani ni mchumba tu kwa iranView attachment 3556273
Unajua ni kwanini?Yani Israel kawekwa rehani, marekani anapigana vita na iran katika ardhi yake. Irani harushi chochote Marekani, kila kitu kitamalizikia palepale.
Yani kama isra3l kakodisha geto watu wakapigane miti
Kwenye mambo ya intelijensia Israel yuko mbele sana, huwezi mcompare ni IranUnadhani Muajemi hayajui hayo unayoyahisi wewe? Anachosumbuka nacho miaka nenda rudi ni lile kundi dogo la makabila ya kusini ambayo ni almost 20% ya population ya hao ambao kwa kiasi kikubwa ndio wauza taarifa za Muajemi kwa Israel ila pamoja na yote Muajemi kwa intelijensia ni mwamba kupitiliza. Achana na stereo type tuliyolishwa miaka nenda rudi ya Israel na Marekani kuhusu intelijensia zao.
Tell usUnajua ni kwanini?
Huyu binti ni mpiganaji au ameenda kuvaa gwanda na kupiga picha tu?Kila mtu kaona iran kachangiwa na mataifa mawili , inatosha kabisa kusema Israel peke yake bila marekani ni mchumba tu kwa iranView attachment 3556273
Nisemeje nini sasa na wakati nimekuuliza swaliTell us
Hapana tuambieNisemeje nini sasa na wakati nimekuuliza swali
Nikuambie nini kwa ulichokisema wewe?Hapana tuambie
Nashangaa mkuu hoja ile imetoaje swali lile. Na sijaandaa majibuNikuambie nini kwa ulichokisema wewe?
Inatosha kusema hiyo pic ni AI kwasababu hakuna binti wa umri huo wa kufikia cheo hiko cha general katika jeshi la Iran. Mpaka ufikie cheo hiko inakubidi uwe umepitia ngazi mbalimbali na zinazochukua muda mrefu mpaka kufikia miaka zaidi ya 30-40.Huyu binti ni mpiganaji au ameenda kuvaa gwanda na kupiga picha tu?
YeahInatosha kusema hiyo pic ni AI kwasababu hakuna binti wa umri huo wa kufikia cheo hiko cha general katika jeshi la Iran. Mpaka ufikie cheo hiko inakubidi uwe umepitia ngazi mbalimbali na zinazochukua muda mrefu mpaka kufikia miaka zaidi ya 30-40.
Unapiga ramli au sioTuwape mda ndo rafiki wa kila kitu hii post yangu ipo siku mtairudia
Kama nilivyosema kuhusu hezbollah na hamas miaka ya nyuma hapo
Hizo hesabu walishindwa kuzipiga wakati wanachezea kichapo kule Vietnam na Afghanistan hadi wakafungasha virago kwa aibu?Kuna mtego ambao iran anaingia pasipo kujua
Ushabiki wekeni pembeni tujiulize kabisa kama marekani na israel wana uwezo wa kujua siri za ndani ya iran yaani nina maana kujua wapi viongozi wa juu wa iran walipo na kuwaua je washindwe kujua uwezo kamili wa kivita wa iran ?πππ je kama walijua iran ni tishio kwao kwanini wali attack iran ?
Je kwanini wanawekeza nguvu zao nyingi katika kujitetea na kuonyesha dunia kuwa wanaonea ? Kama umefatilia vizuri vita hivi zaidi upande wa israel wamekuwa wakionyesha huruma kuwa wanaonewa iran inashambulia makazi ya watu. wao wana shambulia vituo vya kijeshi
Kwanini wanashindwa kutangaza vita kamili zidi ya iran ?
Ukijiuliza maswali yote haya utagundua kuna hesabu za mbali zinapigwa hapa ambazo matokeo yake yatakuja kujulikana hapo mbeleni kidogo tuombe uzima tu
Inawezekana akawa ni mtoto wa mkubwa akapandishwa vyeo ambavyo hastaili, ila vitani wanaenda wale waliotakiwa kuwa na vyeo staili.Inatosha kusema hiyo pic ni AI kwasababu hakuna binti wa umri huo wa kufikia cheo hiko cha general katika jeshi la Iran. Mpaka ufikie cheo hiko inakubidi uwe umepitia ngazi mbalimbali na zinazochukua muda mrefu mpaka kufikia miaka zaidi ya 30-40.