Kuna mtego Iran anaingia pasipo kujua

Iran inabid a engage full war in Israel, Israel akipgwa vzr atasema pooo, anaweza kuimudu Israel vzr kwa ukarbu na accurate target
 
Wenda hauko sawa kichwani hivi hii propaganda ya Iran kupiga hovyo mnakuwa mnaisema kwa misingi ipi?
Kama anarusha hovyo mbona hayo makombora hayatui pakistani,misri ila yanatua kwenye nchi yaliyo kusudiwa kwenda?
Yaani mpaka sasa base za Marekani zote zilizoko mashariki ya kati vineharibiwa mpaka Marekani amezikimbia zote,wameharibu rada zaidi ya nane zenye thamani ya mabilion ya $ Israel haikaliki alafu useme eti Iran ana shambulia hovyo.

Mpaka sasa Marekani na Israel imesha shambulia shule zaidi ya 10 ikiwemo ile ambayo waliuwa watoto 180 wameshambulia hospital na vituo vya afya 9,wamesha haribu nyumba za makazi ya watu zaidi ya 10,000 alafu useme eti hawalengi raia?
 
Mtego upi wewe yule Spy wao alikuwa General Ismail Qaan ndiye aliye wauza kina Nasurlah, Seifdin na makamanda wa Hezboullah time wanauliwa alikuwa Lebanon na kuhusu makamanda wa Iran na Ayatollah Ali Khomen yeye pia alihusika sa Israel ni vigumu kufanikiwa baada ya huyo Ismael Qaan kuny'ongwa au kukimbia watapata wapi infomation tena.

We baki na hizo fikra zitakufurahisha wewe tu ukweli Iran anawachapa vibaya sana Israel na America
 
Inawezekana akawa ni mtoto wa mkubwa akapandishwa vyeo ambavyo hastaili, ila vitani wanaenda wale waliotakiwa kuwa na vyeo staili.
Angalia taswira ya askari wa pembeni ni mmoja na huyo wa nyuma ya binti. That means wameiduplicate
 
www. Facebook.com umejaribu huko mkuu?? kuna wayahudi wa kisukuma wapo tayari kushusha Amina za kutosha
 

Hiyo vita ilipofikia kwa sasa ni kufeli kwa intelijensia ya USA na Israel kufanya regime change nchini Iran hapo hakuna timing yeyote maana kambi za USA kwenye nchi nyingi za kiarabu zimepigwa sasa timing gani hapo au ndiyo miujiza??
 
USA hana huwezo hata wakupigana na China nimefuta ilo wazo
 
Kwenye mambo ya intelijensia Israel yuko mbele sana, huwezi mcompare ni Iran
Huwez kuelewa sababu ya stereo type ambayo tumekua tukiimbiwa miaka yote mpaka sisi wengine tulipoamua kuwa open minded na kuyatafuta maarifa bila mipaka
 

Weeeee dogo au umelewa kiroba?
Intelejensia viongozi wake wanauawa? Au hujui unachosema? Nyie madogo mkivimbiwa futari basi mnaharisha tu na kujamba.

 
Mzungu sio fala- hii kauri mtaielewa siku moja
 

Yaani Israel, Ipige Hospitali, iue watoto wa Chekechea wakiwa Shuleni, kwako hilo hujaona ni tatizo?
Kwanza Irani imelazimishwa kupigana na Israel na hii ni mara ya pili
Mwaka jana Israel ilipiga Irani, Irani ikajibu kwa kipigo kitakatifu hadi Marekani ikaja mbio kuokoa jahazi.
Bila aibu; mwaka huu Israel imerudia tena kuipiga Irani; huku ikipiga Hospitali na hata shule za watoto...
Yenyewe bomu likiangukia mtaani inalia lia; Hapo nani wa kuonewa huruma???

Hao Waisraeli walimuua Yesu hivyo wakikaa bila kuua ni kama wanawashwa....
KAMA SIO MAREKANI, SAFARI HII ISRAEL INGEFANYWA KAMA ILIVYOFANYA KWA PALESTINA
 
Iran kwa sasa anarusha mateke ya mwisho ila marengo ya USA na Israel lazima yatimie!..

Marengo yenyewe:
1. Kuharibu kabisa mitambo ya nukes ya Iran
2. Kuharibu Kabisa viwanda vya kutengenza missiles na drones.
3. Kuhakikisha utawala wa kidini wa Ayatollah unatokomea.
4. Isiwe na nguvu tena ya kufadhili makundi ya kigaidi kama Hezbollah na hamas


Kiufupi ni kwamba USA na Israel wanataka Iran irudi chini kiasi hata jwtz iwazidi nguvu.
 
Kwamba wewe ndio una akili sana kuliko hao Wairani umeweza kung'amua kabla yao
Kwani bado huwajui watz walivo wataalam wa vita za mbele?
Eti kuna mtego yeye huku kajua halafu Iran anaepigana vita hajui!!
Kuna vitu vingine haihitaji vipimo kujua Afya zetu za Akili.
 
Israel kwanini wamemficha netapaka kwa zaid ya wiki had sasa
Au jamaa naye kamfuata khamenei?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…