Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi kuna mtu aliwika na kupendwa kama juma nature sasa yuko wapi so huyo yaliyompata ajue ndio mwanzo wa mwisho kawaida tu,mzee reksa alisema kila zama na kitabu chake
hivi kuna mtu aliwika na kupendwa kama juma nature sasa yuko wapi so huyo yaliyompata ajue ndio mwanzo wa mwisho kawaida tu,mzee reksa alisema kila zama na kitabu chake
Nature alipendwa na wavuta bange
Nature alipendwa na wavuta bange
Bado anapendwa mpk kesho ingawa hana nyimbo mpya.....jana tu nyimbo yake ilipigwa,watu walishangilia hatari
muanzisha uzi ebu ujue mziki
leo hii akipandishwa nature na domo...nature anafunika mbaya
rekebisha title
Nature alipendwa na wavuta bange
nilikuwa fiesta moja miaka km miwil iliyopita nature akapanda jamani shdraaaaaaaaaaa
hebu waambieusiwe limbukekeni we dadamondi mashabiki wanakuona limbukeni kwani kukata viuno ndio ufundi nyumbi bombi -------- hizi no mistari iliyopo kwenye nyimbo inaitwa kama Jana nature alifanya na jide nafikiri sasa inaleta maana ya kilichoimbwa