Kuna mtu alipendwa kama Juma Nature hapa Tanzania?

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
hivi kuna mtu aliwika na kupendwa kama juma nature sasa yuko wapi so huyo yaliyompata ajue ndio mwanzo wa mwisho kawaida tu,mzee reksa alisema kila zama na kitabu chake
 
hivi kuna mtu aliwika na kupendwa kama juma nature sasa yuko wapi so huyo yaliyompata ajue ndio mwanzo wa mwisho kawaida tu,mzee reksa alisema kila zama na kitabu chake

Who is huyo yaliyompata...?? Unajuwa ukianzisha uzi halafu ukafanya réf ya uzi mwingine bila kuweka link ya uzi huo utaonekana unabwabwaja tu
 
hivi kuna mtu aliwika na kupendwa kama juma nature sasa yuko wapi so huyo yaliyompata ajue ndio mwanzo wa mwisho kawaida tu,mzee reksa alisema kila zama na kitabu chake

Elimu za chekechea zina mawazo duni
 
Nature alipendwa na wavuta bange

acha dharau wewe mama unaongea kama umevuta bangi Mjini umechelewa kuja haya mambo yapo juu

ya uwezo wako nature ndio msanii aliyechangia maendeleo ya muziki huu alijitolea kusaidia vijana kuupenda na kuona bongo flava ni fulsa ya ajila sass unapokuja na mawazo yako ya kimama mama unakuwa husomeki
 
hakuna na hatokuja kutokea hv karibuni
natureeerrrrrerrr acha bwana hadi leo nyimbo zake zinabamba mbayaaaa
 
Bado anapendwa mpk kesho ingawa hana nyimbo mpya.....jana tu nyimbo yake ilipigwa,watu walishangilia hatari
 
muanzisha uzi ebu ujue mziki

leo hii akipandishwa nature na domo...nature anafunika mbaya

rekebisha title
 
muanzisha uzi ebu ujue mziki

leo hii akipandishwa nature na domo...nature anafunika mbaya

rekebisha title

nilikuwa fiesta moja miaka km miwil iliyopita nature akapanda jamani shdraaaaaaaaaaa
 
usiwe limbukekeni we dadamondi mashabiki wanakuona limbukeni kwani kukata viuno ndio ufundi nyumbi bombi -------- hizi no mistari iliyopo kwenye nyimbo inaitwa kama Jana nature alifanya na jide nafikiri sasa inaleta maana ya kilichoimbwa
 
hebu waambie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…