Juma alikuwa anapendwa sana kwenye vibanda vya gongo na wanzuki
hivi kuna mtu aliwika na kupendwa kama juma nature sasa yuko wapi so huyo yaliyompata ajue ndio mwanzo wa mwisho kawaida tu,mzee reksa alisema kila zama na kitabu chake
Dah,bora tumpe tafu Nature manake ally kiba hauzuki kabisa.Huyu dadamondi Huyu....nuksi sana.Ona tunavo haha kumtafuta wa kututoa stress.Bora nature bana.