Kuna mtu alisema Simba wakitoa hata droo tumwite Mbwa

Kuna mtu alisema Simba wakitoa hata droo tumwite Mbwa

ACHENI kumpa promo.
Mfungwa huyo Hana jipya .anataka aendelee kuwa anazungumziwa
 
Mbwa Koko Manara.
Ni jina lake halali maana amejibatiza mwenyewe.
Alishasemaga ukiwa shabiki wa ile timu akili yako inakuwa hamnazo.
 
Mbwa mwenyewe alikuwa Serena anakula makombo ya waarabu.

Huyu jamaa ni mbwa jike,aka mzungu pori cha waarabu
Mbwa namba moja ni mwanajukwaa rafiki yako dabil aliyesema yanga atoboi mechi zote mbili za tanzania na ikitoboa yeye ni mbwa, kwaiyo mbwa namba moja ni shabiki mwenzako labda uyo mwingine anaweza kuwa mbwa namba 2
 
Mbwa mwenyewe alikuwa Serena anakula makombo ya waarabu.

Huyu jamaa ni mbwa jike,aka mzungu pori cha waarabu
Na bila hiana tumemkubalia ombi lake
JamiiForums-1514843452.jpg

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom