Kuna mtu alishawahi kununua simu mtandaoni ikaja kwa posta na akaipata?

Kuna mtu alishawahi kununua simu mtandaoni ikaja kwa posta na akaipata?

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
4,612
Reaction score
4,721
Heri wanajukwaa
Kuna alishawahi kununua simu mtandaoni km ebay, amazon na aliexpress akatumiwa simu kwa njia ya posta akaipata bila kuibiwa?
Nataka kununua simu aliexpress sasa itabidi nitumiwe kwa njia ya posta
Hebu ambao mshawah kununua mkatumiwa kupitia posta nipeni feedback zenu
Vp kodi kwa upande wa simu?maana nanunua moja tu
 
Mi huwa nanunua mara nyingi na zinakuja kwa posta kuhusu kodi mwambie anaekuuzia aandike gift hapo haulipi kodi
 
Mara nyingi sana, simu zinafika bila tatizo
Kupitia hii huduma BUY4ME: www.bit.ly/101buy4me
aaah nilikua nahofia tu kwamba labda posta watakwapua
Boss ile refund yangu equity wanazingua bora tu niwahame natafuta kadi ambayo nikifanyiwa refund iingie directly
 
aaah nilikua nahofia tu kwamba labda posta watakwapua
Boss ile refund yangu equity wanazingua bora tu niwahame natafuta kadi ambayo nikifanyiwa refund iingie directly
Kwenye swala la refund jaribu kuwasiliana nao wakusaidie, mimi natumia crdb bank nilinunua kitu yule muuzaji akairudisha hela kisa hawezi kutuma bidhaa zake posta. Niliwasiliana na crdb nikaambiwa niwatumie uthibitisho wa kurudishiwa pesa nikawatumia kwa njia ya email screenshot ya swift ndani ya 24 hela ilikuwa imerudi kwenye akaunti yangu.
 
Sijai agiza Simu but nishai agiza bidhaa yenye thaman ya $120 ili kuja kwa posta nikalipia 1500 icho kifurushi na risit nikapewa....almost 25days...na zingine mdogo ndogo zenye thaman chin ya hapo.....
 
Now nipo na dhl ni mzigo wa $203 na unahitaj care na haraka kufika ndio nikampa dhl....I can hav it 27 dec
7376e9f367489f6d34800123f662b6d4.jpg
 
DHL ni kwa mzigo wa sample ndo mana inahitaji haraka
Mkuu huwa nafanya research masoko makubwa na gharama zakupokea tz airport.....Hawa nimewatumia mana naona wanaubia na duka/soko niliponunua ukizingatia wauzaji bhphoto wanatuma international bila forward na iko cheap ukilinganisha na masoko mengine
 
Hivi kuna mtu humu aliwahi kununua mtandaoni kwa kutumia kadi ya NMB? Nimejaribu kununua AliExpress imegoma imanitaka niweke OTP ambayo sina
 
Kwenye swala la refund jaribu kuwasiliana nao wakusaidie, mimi natumia crdb bank nilinunua kitu yule muuzaji akairudisha hela kisa hawezi kutuma bidhaa zake posta. Niliwasiliana na crdb nikaambiwa niwatumie uthibitisho wa kurudishiwa pesa nikawatumia kwa njia ya email screenshot ya swift ndani ya 24 hela ilikuwa imerudi kwenye akaunti yangu.
mkuu unapiga screenshot' info zipi za refund hapo ndo huwa pananichanganya pls nisaidie kk
 
Sijai agiza Simu but nishai agiza bidhaa yenye thaman ya $120 ili kuja kwa posta nikalipia 1500 icho kifurushi na risit nikapewa....almost 25days...na zingine mdogo ndogo zenye thaman chin ya hapo.....
vizuri sana
Posta yako ni ya dsm au mkoani?
 
Back
Top Bottom