Mara nyingi sana, simu zinafika bila tatizoKuna alishawahi kununua simu mtandaoni km ebay, amazon na aliexpress akatumiwa simu kwa njia ya posta akaipata bila kuibiwa?
Nataka kununua simu aliexpress sasa itabidi nitumiwe kwa njia ya posta
Ata kama asipoandika itakuja kwenye bahasha tu afu atalipia buku tatuMi huwa nanunua mara nyingi na zinakuja kwa posta kuhusu kodi mwambie anaekuuzia aandike gift hapo haulipi kodi
Ata kama asipoandika itakuja kwenye bahasha tu afu atalipia buku tatuMi huwa nanunua mara nyingi na zinakuja kwa posta kuhusu kodi mwambie anaekuuzia aandike gift hapo haulipi kodi
aaah nilikua nahofia tu kwamba labda posta watakwapuaMara nyingi sana, simu zinafika bila tatizo
Kupitia hii huduma BUY4ME: www.bit.ly/101buy4me
Mkuu ukifanikiwa utupe feed back na mm nahitaji kununua kwa njia hii.ooh thanks ngoja nijaribu kununua simu
Kwenye swala la refund jaribu kuwasiliana nao wakusaidie, mimi natumia crdb bank nilinunua kitu yule muuzaji akairudisha hela kisa hawezi kutuma bidhaa zake posta. Niliwasiliana na crdb nikaambiwa niwatumie uthibitisho wa kurudishiwa pesa nikawatumia kwa njia ya email screenshot ya swift ndani ya 24 hela ilikuwa imerudi kwenye akaunti yangu.aaah nilikua nahofia tu kwamba labda posta watakwapua
Boss ile refund yangu equity wanazingua bora tu niwahame natafuta kadi ambayo nikifanyiwa refund iingie directly
DHL ni kwa mzigo wa sample ndo mana inahitaji harakaTatizo DHL ni gharama kubwa mno
Mkuu huwa nafanya research masoko makubwa na gharama zakupokea tz airport.....Hawa nimewatumia mana naona wanaubia na duka/soko niliponunua ukizingatia wauzaji bhphoto wanatuma international bila forward na iko cheap ukilinganisha na masoko mengineDHL ni kwa mzigo wa sample ndo mana inahitaji haraka
mkuu unapiga screenshot' info zipi za refund hapo ndo huwa pananichanganya pls nisaidie kkKwenye swala la refund jaribu kuwasiliana nao wakusaidie, mimi natumia crdb bank nilinunua kitu yule muuzaji akairudisha hela kisa hawezi kutuma bidhaa zake posta. Niliwasiliana na crdb nikaambiwa niwatumie uthibitisho wa kurudishiwa pesa nikawatumia kwa njia ya email screenshot ya swift ndani ya 24 hela ilikuwa imerudi kwenye akaunti yangu.
vizuri sanaSijai agiza Simu but nishai agiza bidhaa yenye thaman ya $120 ili kuja kwa posta nikalipia 1500 icho kifurushi na risit nikapewa....almost 25days...na zingine mdogo ndogo zenye thaman chin ya hapo.....