Kuna mtu aliwahi kuagiza gari kwenye hizi websites?

Kuna mtu aliwahi kuagiza gari kwenye hizi websites?

Naanto Mushi

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
6,236
Reaction score
15,677
Wanazengo,

Naomba kuuliza kama kuna mtu ameshawahi kuagiza gari kwenye hizi website zifuatazo.


1. https://carused.jp

2. Respect motors

Ningependa kupata uzoefu wa yeyote aliyewahi. Nahitaji kumpa mtu ushauri
 
Mkuu usiamini kila websites, maana zingine zinauza magari ya wizi, halafu ije iwe balaa kwako. Tafuta MTU ambaye aliwahi kuagiza na likashuka kweli bandarini
Hao wote ni unanunua gar kwenye auction..
 
Sababu ya wewe kutaka kuagiza gari kupitia hao jamaa ni ipi wakati kuna kampuni nyingi zinazoaminika kwa kuagiza magari zipo??
Kwa sababu nanunua kwenye auction directly so nahis hata bei itakuwa pungufu
 
Back
Top Bottom