Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
We will discuss that later..Mkuu hilo jina umelipendea nini
Aisee wewe mushi hilo jina duuuhWanazengo,
Naomba kuuliza kama kuna mtu ameshawahi kuagiza gari kwenye hizi website zifuatazo.
1. https://carused.jp
2. Respect motors
Ningependa kupata uzoefu wa yeyote aliyewahi. Nahitaji kumpa mtu ushauri
Mkuu usiamini kila websites, maana zingine zinauza magari ya wizi, halafu ije iwe balaa kwako. Tafuta MTU ambaye aliwahi kuagiza na likashuka kweli bandariniWe will discuss that later..
Nipe uzoefu wako kwanza kwenye hizo websites.. Je zinaaminika?
Hao wote ni unanunua gar kwenye auction..Mkuu usiamini kila websites, maana zingine zinauza magari ya wizi, halafu ije iwe balaa kwako. Tafuta MTU ambaye aliwahi kuagiza na likashuka kweli bandarini
Sababu ya wewe kutaka kuagiza gari kupitia hao jamaa ni ipi wakati kuna kampuni nyingi zinazoaminika kwa kuagiza magari zipo??Hao wote ni unanunua gar kwenye auction..
Kwa sababu nanunua kwenye auction directly so nahis hata bei itakuwa pungufuSababu ya wewe kutaka kuagiza gari kupitia hao jamaa ni ipi wakati kuna kampuni nyingi zinazoaminika kwa kuagiza magari zipo??