Kuna mtu ambaye ameshawahi kuagiza gari kutoka kwenye hii website magarijapan.com?

Kuna mtu ambaye ameshawahi kuagiza gari kutoka kwenye hii website magarijapan.com?

Mavindozii

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
2,111
Reaction score
2,781
Hello Ladies and Gentlemen,
Naombeni kuuliza kama Kuna mtu ambaye ameshawahi kuagiza gari kutoka kwenye hii website
magarijapan.com
Anijulishe please kabla sijatuma hela wakuu wangu please.
Thanks.
 
Habari,

Zifuatazo ni dondoo kidogo za kuzingatia.

1. Angakia address yao kwenye google search

2. Iangalie tovuti yao, kwaajili yaku clarify IP pamoja na mmiliki wa domain ambayo imesajiliwa

3. Angalia namba ya usajiri wa kampuni, pamoja na nyaraka za polisi zenye uthibitisho.

4. Nambari ya landline nayo inatakiwa kuchunguzwa.


Hivyo ndio vitu vya muhimu ambavyo unatakiwa kuviangalia.

Ikiwa utapenda, unaweza kuja kwetu (ecarstanzania) tukakusaidia kuagiza kwa usalama zaidi na kwa gharama nafuu kabisa Maana watu wetu wapo japan.

Karibu.
 
Back
Top Bottom