Habari,
Zifuatazo ni dondoo kidogo za kuzingatia.
1. Angakia address yao kwenye google search
2. Iangalie tovuti yao, kwaajili yaku clarify IP pamoja na mmiliki wa domain ambayo imesajiliwa
3. Angalia namba ya usajiri wa kampuni, pamoja na nyaraka za polisi zenye uthibitisho.
4. Nambari ya landline nayo inatakiwa kuchunguzwa.
Hivyo ndio vitu vya muhimu ambavyo unatakiwa kuviangalia.
Ikiwa utapenda, unaweza kuja kwetu (ecarstanzania) tukakusaidia kuagiza kwa usalama zaidi na kwa gharama nafuu kabisa Maana watu wetu wapo japan.
Karibu.