Ricky Blair JF-Expert Member Joined Mar 13, 2023 Posts 463 Reaction score 1,009 Sep 11, 2023 #1 Kuna mtu limekuja office leo linadai limetumwa sijui na mkurugenzi uko serikalini kuchukua record za watu na biashara zao to do God knows what? Jamani hawa watu sijui TRA, Serikali wananichefua kwa kila kitu. As if wanataka kufanya vitu vya muhimu.
Kuna mtu limekuja office leo linadai limetumwa sijui na mkurugenzi uko serikalini kuchukua record za watu na biashara zao to do God knows what? Jamani hawa watu sijui TRA, Serikali wananichefua kwa kila kitu. As if wanataka kufanya vitu vya muhimu.
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 20,419 Reaction score 39,217 Sep 11, 2023 #3 Pole mfanyabiashara,kodi unalipa wahuni wanaenda kuhonga malaya dubai[emoji28]
bongo dili JF-Expert Member Joined Feb 13, 2015 Posts 12,350 Reaction score 25,180 Sep 11, 2023 #4 Shida nini wanakukera Nini na wapo kazini