kingjohn255
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 400
- 513
Karibu boss ujipatie oil bora kabisa duniani hii inatoka moja kwa moja German na sio nyingine hizi ambazo zinatoka DubaiNimeona mafundi wengi wanaisifia hiyo engine oil kumbe inatengenezwa na wajerumani?
Ukisoma manual za BMW na VW ukiweka synthetic 5w30 inaenda km 10,000. Bmw now service after 24000 KM au miaka miwiliUnaenda kuikaanga engine ya Gari yako mapema asubuhi
Service after 24,000kms (twenty four thousand kilometers)?Ukisoma manual za bmw na vw ukiweka synthetic 5w30 inaenda km 10,000. Bmw now service after 24000 km au miaka miwili
Huyo hajui gari na pengine hana gari kabisa na anashindwa kutofautisha engine oil na gear box oil muda wa servicesService after 24,000kms (twenty four thousand kilometers)?
I own three german cars. Pita google utajifunzaHuyo hajui gari na pengine hana gari kabisa na anashindwa kutofautisha engine oil na gear box oil muda wa services