Kuna mtu amesikia hki kitu leo kuhusu heslb?

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Eti kuna msela kaniambia magic fm wametangaza kuwa heslb wametangaza kwenye taarifa yao ya habari ya saa 10 jioni kuwa heslb wametoa majina ya waliopata mkopo,na jumla ya waliopata ni 29000 kati ya 33000 walioomba.kuna mwingne ameckia hii kitu wakuu?
 
Ni kweli wamesema hivyo bt ukiingia kwenye websit yao hakuna kitu
 
bado hawajatoa majina tuendelee kusubiri ila kwa hiyo idadi vyuo viwili tu vinatosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…