Eti kuna msela kaniambia magic fm wametangaza kuwa heslb wametangaza kwenye taarifa yao ya habari ya saa 10 jioni kuwa heslb wametoa majina ya waliopata mkopo,na jumla ya waliopata ni 29000 kati ya 33000 walioomba.kuna mwingne ameckia hii kitu wakuu?
leo halali mtu hapa mpaka kieleweke
Mkuu umeiweka web ya Heslb kama homepage halafu unai-reflesh kila baada ya muda mfupi..hahaaaaaa
leo nilikua na mpango wakutoka na shemeji yako, yaani hadi nime ahirisha
mkuu hakuna dalili yoyote ya mzigo kuwekwa usiku huu just go for a date uka-enjoy bana
Wewe nimesema halali mtu hapa unacheza nini??
Wewe nimesema halali mtu hapa unacheza nini??
mwanangu kama vp ukiyaona tupia na umu!
Kama kutoboa nimetoboa sana,acha leo nikeshe mpaka kieleweke,nimwendo wa kurefresh 2