Kuna mtu amewasiliana na Customer Care ya Sensa?

Kuna mtu amewasiliana na Customer Care ya Sensa?

Damidizzo

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2014
Posts
400
Reaction score
172
Jamani kama kuna ambae amefanikiwa kuwasiliana na customer care wa sensa wanasemaje kuhusu ambao hawajapata meseji ya nywila au namna ya kupata namba ya siri kwa ujumla?
 
Jamani kama kuna ambae amefanikiwa kuwasiliana na customer care wa sensa wanasemaje kuhusu ambao hawajapata meseji ya nywila au namna ya kupata namba ya siri kwa ujumla?
Kama haipo inbox angalia pia kwenye spam saa nyingine huwa zinakwenda baadhi ya message huko
 
We pga tu mpaka wapokee na wakipokea maliza shida zako zote
 
Hizo namba eidha hazipatikani au ziite tu bila kupokewa au ziwe bize na hata kama ukafanikiwa kupokelewa utatamani kucheka tu... yaani mtu anakupokea hakuna lugha ya kihuduma kwa mteja wala nini unaona kabisa yupo nyumbani kwake

Juzi nimempigia mmoja saa 2 usiku akapokea anapiga miayo kabisa (alilala) halafu na yeye hajui tatizo ni nini na tunalitatuaje. Alisema "sijui huu mfumo ni kwamba unazidiwa au tusemeje yaani ila waombaji mpo wengi sana ndomaana kwahiyo usijali subiri tu meseji ya email itaingia"
 
Sii ndiyo kwanza wanaajiri, hata hao customer care bado...
 
Back
Top Bottom