Kama haipo inbox angalia pia kwenye spam saa nyingine huwa zinakwenda baadhi ya message hukoJamani kama kuna ambae amefanikiwa kuwasiliana na customer care wa sensa wanasemaje kuhusu ambao hawajapata meseji ya nywila au namna ya kupata namba ya siri kwa ujumla?
We pga tu mpaka wapokee na wakipokea maliza shida zako zote