Kuna mtu anafahamu mayai ya kisasa yanapopatikana kwa wingi anifahamishe?

Kuna mtu anafahamu mayai ya kisasa yanapopatikana kwa wingi anifahamishe?

Banuuislaa

New Member
Joined
Sep 10, 2021
Posts
1
Reaction score
1
Naomba kuuliza Kama Kuna mtu anafahamu mayai ya kisasa yanapopatikana kwa wingi anifahamishe, natokea lushoto tanga, habar
 
Ukiwa Dar nenda kwa Ex Mayor wa Ubungo Ndugu Jacob LAZIMA utapata mayai ya kutisha na kutosha
 
Back
Top Bottom